Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Images

  • Home
  • Image
  • Page 87
September 3, 20210

Familia moja huko Kibaoni Kilifi yaomba msaada ili wamzike jamaa yao…..

Familia moja eneo la Kibaoni katika kaunti ya Kilifi inaomba msaada ili waweze kumzika jamaa wao aliyefariki tarehe 4 Julai mwaka huu katika hospitali

Read More
September 3, 20210

Maafisa wa DCI Malindi wachunguza kisa baada ya mtoto wa miaka 7 kupigwa shoti huko Takaye…….

Maafisa wa uchunguzi wa jinai mjini Malindi wanachunguza kisa ambapo mtoto wa umri wa miaka Saba aliaga dunia baada ya kupigwa shoti ya nyaya za stima

Read More
September 3, 20210

Wauguzi Mombasa watishia kusitisha huduma kuanzia jumatatu wiki ijayo…..

Wauguzi na maafisa wa kliniki kaunti ya Mombasa wametishia kuandaa mgomo baridi kuanzia jumatatu wiki ijayo kufuatia kucheleweshwa kwa mishahara yao.

Read More
September 2, 20210

Ipo haja ya kutembelea vituo vya afya ili kujua afya yako kuhusu ugonjwa wa kifua kikuu.

Wito umetolewa kwa wakazi wa Pwani na kenya kwa jumla kufika katika  vituo vya afya ili kupata vipimo vya ugonjwa wa kifua kikuu hasa msimu huu ambapo

Read More
September 1, 20210

Freeman Mbowe afikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya ugaidi….

Kinara wa chama cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania Freeman Mbowe amefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya ugaidi. Mbowe mwenye umri wa miaka 59

Read More
September 1, 20210

Serikali ya Mombasa yapokea dozi ya kwanza ya chanjo ya MODERNA……..

Serikali ya kaunti ya Mombasa imepokea awamu ya kwanza ya zaidi ya dozi elfu 11 za chanjo ya covid 19 aina ya Moderna. Chanjo hiyo inatarajiwa kuan

Read More
September 1, 20210

Magoha aendeleza oparesheni ya kuhakikisha wanafunzi wamejiunga na kidato cha kwanza……

Waziri wa elimu proffesa George Magoha hii leo anaendeleza oparesheni ya nyumba hadi nyumba katika kaunti ya Nairobi kuhakikisha kwamba asilimia 100 y

Read More
September 1, 20210

Mudavadi aeleza matumaini ya kushinda urais uchaguzi mkuu ujao……

Kinara wa chama cha ANC Musalia Mudavadi ameelezea matumaini makubwa ya kukitwaa kiti cha urais ifikapo uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Akizungumza ka

Read More
September 1, 20210

Matiangi asema kikosi cha ulinzi cha rais kinaendelea kumlinda naibu RAIS William Ruto…..

Waziri wa masuala ya usalama wa ndani dkt Fred Matiangi amefika mbele ya kamati ya utawala ya bunge la kitaifa kuhojiwa kuhusu suala la usalama wa nai

Read More
September 1, 20210

WAZIRI FRED MATIANG’I KUFIKA MBELE YA KAMATI YA UTAWALA HII LEO…

Waziri wa usalama wa ndani dkt Fred Matiangi ameagizwa kufika mbele ya kamati ya utawala na usalama ya bunge la kitaifa hapo kesho kutoa mwangaza juu

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 86 87 88 … 120 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite