Mbunge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir amesisitiza haja ya wananchi kujitolea kutoa damu ili kukabiliana na changamoto za upungufu wa damu katika
Read MoreMbunge wa Magarini Michael Kingi amesema ukanda wa Pwani utakuwa na chama chake katika uchaguzi wa mwaka wa 2022. Akizungumza katika eneo bunge lak
Read MoreMbunge wa Msambweni kaunti ya Kwale Feisal Bader amepinga vikali kigezo cha kuwataka wabunge na wawakilishi wadi kuwa na cheti cha shahada. Akizung
Read MoreNaibu rais William Ruto ameshikilia kauli yake kwamba mpango wa kufanyia marekebisho katiba lazima uzingatie kuboresha maisha ya wananchi wa chini.
Read MoreWizara ya afya katika kaunti ya Garissa inatarajia kuwachanja watoto 165 000 dhidi ya ugonjwa wa ukambi. Zoezi hili ambalo linatarajiwa kuanza hapo
Read MoreMashirika ya kijamii yameshauriwa kuwahusisha vijana katika vita dhidi ya dhulma za kijinsia katika kaunti ya Kwale ili kupunguza ongezeko la visa hiv
Read MoreBodi ya kutathmini ubora wa filamu nchini KFCB imewataka wakenya kutilia mkazo maadili hasa katika Sanaa huku ikiwateua mabalozi wa kusambaza ujumbe h
Read MoreWatumizi wa barabara hasa madereva wameshauriwa kuwa na subra wanapo tumia bara bara ili kuweza kupunguza ajali za barabarani. Akizungumza na wandi
Read MoreSerikali kupitia wizara ya Leba imetoa agizo kwa mamlaka ya ajira nchini kutafuta nafasi 100,000 za ajira katika mataifa ya kigeni sawia na humu nchin
Read MoreWaziri wa afya Mutahi Kagwe amepuzilia mbali ombi la magavana la kutaka kuagiza chanjo ya Corona akisema kwamba taifa linapaswa kuhakikisha usalama wa
Read More