Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Author: Sauti ya Pwani Reporter

  • Home
  • Sauti ya Pwani Reporter
  • Page 96
March 4, 20210

Serikali ya kaunti ya Tana River imepeleka wahuduma wa afya watano jijini Nairobi ili kupata mafunzo kuhusu chanjo ya covid-19.

Waziri wa afya kaunti hiyo Javan Bonaya amesema hatua hiyo ni njia moja ya serikali ya kaunti kujitayarisha kupokea chanjo hiyo iliyowasiliswa humu nc

Read More
March 3, 20210

Wito umetolewa kwa wakaazi kaunti ya Kilifi pamoja na Pwani kwa jumla kuungana na kuingia chama cha pwani ili kufanikisha malengo yao.

Kulingana na kinara wa KADU ASILI Gerald Thoya wakati umefika kwa viongozi kutoka ukanda huo kuongoza wakaazi kupitia kwa chama hicho kwa manufaa ya w

Read More
March 3, 20210

Wakaazi wa Tana Delta kaunti ya Tana River wameombwa kutoendeleza shughuli za kilimo katika maeneo ambayo ni njia za wanayamapori ili kuepuka uhasama kati ya wanyama hao na binadamu.

Ali Tambo mwanakamati wa uhifadhi wa mazingira na utoaji fidiaji kwa walioathirika na mashambulizi wa wanyamapori eneo la Tana Delta, amesema wanyama

Read More
March 3, 20210

Serikali ya kaunti ya Kwale kwa ushirikiano na idara ya usalama kaunti hio imerejelea vikao vyake vya kujadili maambukizi ya homa ya covid 19 kama njia mojawapo ya kutoa hamasa kwa wakaazi wa Kwale.

Akiongea na wanahabari baada ya kukamilisha kikao hicho gavana wa kaunti hii Salim Mvurya amesema hali hio imetokana na hofu mpya ya msambao wa homa h

Read More
March 3, 20210

Muungano wa wahudumu wa mabasi, matatu, tuk tuk na Boda boda wanaitaka serikali kulegeza masharti yaliyowekwa ya kuthibiti maambukizi ya virusi vya covid-19.

wanasema biashara zao zimedidimia kutokana na hatua ya kupigwa marufuku safari nyakati za usiku. Wakihutubia waandishi wa habari katika ofisi za sh

Read More
March 2, 20210

Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga amesema anaunga mkono azima ya Gavana wa Kaunti ya Mombasa Ali Hasaan Joho kuwania wadhfa wa urais kwa Tiketi ya chama Cha Odm mwaka 2022.

Akizungumza mjini voi Raila amesema gavana Joho anahaki kikatiba na kama mwanachama wa chama hicho kuwania wadhfa huo wa urais. Awali gavana Joho a

Read More
March 2, 20210

Kesi inayomkabili aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike mbuvi Sonko imelazimika kauhirishwa baada ya sonko kukosa kufika mahakamani.

Mawakili wa Sonko wameambia mahakama kuwa mteja wano angali na maumivu na amelazwa katika Nairobi hospital akisubiri kuelekea afrika kusini kufanyiwa

Read More
March 2, 20210

Serikali ya kaunti ya Kilifi inapania kuimarisha miundomsingi katika wadi ya Kakuyuni eneo bunge la Malindi.

Kulingana na mwakilishi wa wadi hiyo Nixon Mramba zaidi ya barabara saba wadi hiyo zitakarabatiwa kwa kima cha shilingi milioni 20 katika bajeti ya mw

Read More
March 1, 20210

Wasichana walio na umri mdogo eneo la changamwe hapa Mombasa wamenufaika na msaada wa vitambaa vya sodo kutoka kwa wakfu wa Omboko.

Mwanzilishi wa wakfu huo, Dennis Omboko amesema kuwa janga la korona lilisababisha wazazi wengi kukosa ajira hivyo imekuwa vigumu wengi wao kuwa na uw

Read More
March 1, 20210

Spika wa bunge la kaunti ya kilifi Jimmy Kahindi anasema Idadi kubwa ya wakaazi kaunti hiyo hawajasoma na kuelewa kilichomo ndani ya ripoti ya mswada wa BBI.

Kulingana na Kahindi hayo yalibainika wakati wa vikao vya kuchukua maoni ya wananchi kuhusu BBI kutokana na  maswali waliyopata kutoka baadhi ya wakaa

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 95 96 97 … 99 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite