Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Author: Sauti ya Pwani Reporter

  • Home
  • Sauti ya Pwani Reporter
  • Page 97
March 1, 20210

Mbunge wa kisauni Ali Mbogo anawasihi wakaazi…

Mbogo ambaye  ana azma ya kuwania ugavana kaunti ya Mombasa katika uchaguzi mkuu ujao, anasema matatizo  mengi ya wakaazi yanafaa kuangaziwa na serika

Read More
March 1, 20210

Muungano wa Jamii ya Waluo hapa Mombasa umezindua rasmi ofisi itakayokuwa ikitoa hamasa kuhusu mapendekezo ya katiba kupitia BBI.

Ofisi hiyo imezinduliwa eneo la Mikindani na inanuiwa kuwapa ufahamu zaidi wananchi kabla kufanyika kura ya maoni. Mwenyekiti wa kundi hilo Jackoni

Read More
March 1, 20210

Kamishena wa kaunti ya Kwale Joseph Kanyiri amewaonya wazazi wa kaunti hiyo dhidi ya kujihusisha na visa vya ndoa za mapema.

Akizungumza katika eneo la Diani, Kanyiri amesema wazazi watakaopatikana wakiwaozesha wasichana wao wa umri mdogo watakabiliwa kisheria. Vile vile,

Read More
February 28, 20210

Polisi nchini Myanmar imewafyatulia risasi waandamaji.

Leo ikiwa ni siku mbaya kabisa ya umwagaji damu tangu maandamano yalipoanza wiki kadhaa zilizopita dhidi ya mapinduzi ya kijeshi.Ofisi ya Haki za Bina

Read More
February 28, 20210

Naibu rais Dakta William Ruto anasema kamwe hatakubali azma yake kumrithi rais Uhuru kenyatta kuzamishwa na baadhi ya wanasiasa nchini.

Akizungumza eneo la Gatura Gatanga kaunti ya Murang’a Ruto amepuuzilia mbali wanasiasa wanaohjaribu kutatiza amza yake akisema hilo halitafaulu. Wa

Read More
February 28, 20210

Waziri wa afya Mutahi Kagwe amesema chanjo dhidi ya virusi vya corona itawasilishwa nchini siku ya jumanne wiki ijayo.

Akizungumza kaunti ya Nyeri, Kagwe amesema wahudumu wa afya watapewa kipaumbele katika chanjo hiyo, kisha baadaye maafisa wa usalama, walimu na wafany

Read More
February 28, 20210

HAPPY C MSANII MPYA CHINI LEBEL YA 001 MUSIC AELEZEA HISTORIA YAKE ALIVYOKUTANA NA GAVANA JOHO

Happy Chondo Juma ni msanii mwenye uwezo mkubwa aliyeanza kufanya mziki toka shule ya msingi akiwa na ndugu yake Sande wakjiita Wawindaji. Ripota w

Read More
February 27, 20210

Wakenya wahimizwa kujibu jumbe za huduma namba wanazotumiwa

Imebainika kwamba ni watu elfu 300 pekee waliojibu ujumbe kuhusu ni wapi wanataka kadi zao za huduma zitumwe kati ya watu milioni 2.6 waliotumiwa ujum

Read More
February 27, 20210

KEMSA yahimizwa kutositisha usambazaji dawa kwa kaunti kufuati madeni

Gavana wa kaunti ya Kakamega Wycliff Oparanya ameiomba mamlaka ya usambazaji dawa nchini KEMSA kutositisha zoezi la kusambaza dawa na vifaa vya matiba

Read More
February 27, 20210

Ruto asema changamoto kubwa inayokabili wakenya ni ukosefu wa ajira

Naibu rais William Ruto amesema kwamba changamoto kubwa inayokabili taifa hili ni ukosefu wa ajira kwa wakenya. Akiwahutubia wananchi katika kaunt

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 96 97 98 99 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite