Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Taasisi ya Masoroveya (ISK) Yashinikiza Serikali Kuweka rekodi za Mashamba katik... May 28, 2025
  • Ushirikiano wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi waanzishwa Kilifi. May 27, 2025
  • Wabunge waitaka Mahakama Iruhusu ukaguzi wa Wateule wa IEBC kuendelea bila Kukat... May 24, 2025
  • Kitendawili cha Nyumba za Bei Nafuu; Wakazi wa Likoni Wadai Kulazimishwa Kutia S... May 24, 2025
  • Raila aunga mkono Msukumo wa Mabadiliko ya Katiba ili Seneti iwe na Mamlaka na N... May 22, 2025

Month: September 2021

  • Home
  • 2021
  • September
  • Page 2
September 28, 20210

Mbunge wa Ugunja Opiyo Wandayi anapendekeza marekebisho ya sura ya sita ya katiba na sheria ya uchaguzi…

Mbunge wa Ugunja Opiyo Wandayi anapendekeza marekebisho ya sura ya sita ya katiba na sheria ya uchaguzi ili kuwafungia nje wawaniaji  wote waliotajwa

Read More
September 24, 20210

TAKRIBAN ASILIMIA 75 YA WANACHAMA WA BIMA YA NHIF HAWALIPI PESA ZAO KILA MWEZI

Bima ya matibabu nchini NHIF imethibitisha kwamba takriban asilimia 75 ya wakenya waliojisali kuwa wanachama wa bima hiyo hawalipi pesa zao za kila mw

Read More
September 24, 20210

MAKUNDI YA KINA MAMA WANOJIHUSISHA NA BIDHAA ZA KITALII KAUNTI YA KWALE WAITAKA SERIKALI KUWATAFUTIA SOKO………….

Makundi ya kinamama wanaojihusisha na sanaa za usukaji wa bidhaa asilia za kitalii (vikapu ,vipepeo na mikeka na mambo ya nyumba) katika eneo la Madib

Read More
September 23, 20210

Wanafunzi kutoka shule za vijijini waibuka washindi katika mashindano ya kitaifa ya uandishi Insha 

Wanafunzi kutoka shule za vijijini wameibuka washindi katika mashindano ya kuandika insha  ambapo wanafunzi 23,000 kutoka shule za umma 11,300 walihus

Read More
September 23, 20210

Serikali ya kaunti ya Kwale inatarajia kupokea chanjo ya tatu ya virusi vya corona ya aina ya Johnson & Johnson.

Gavana wa Kwale Salim Mvurya amesema kuwa chanjo hiyo inayotarajiwa hivi karibuni inalenga kuimarisha juhudi za serikali za kuwachanja wananchi. Mv

Read More
September 23, 20210

Seneta wa kaunti ya Baringo Gideon Moi leo anatarajiwa kukutana na viongozi na wajumbe wa chama cha KANU mjini Mombasa.

Kinara wa chama cha KANU ambaye pia ni seneta wa kaunti ya Baringo Gideon Moi leo anatarajiwa kukutana na viongozi na wajumbe wa chama hicho mjini Mom

Read More
September 21, 20210

Idadi ya vifo kutokana na ajali za barabarani yaongezeka…

Idadi ya vifo kutokana na ajali za barabarani mwaka huu imeongezeka ikilinganishwa na kipindi sawia na hiki mwaka jana. Kulingana na utafiti uliofa

Read More
September 21, 20210

Waziri wa kawi charles keter ajitenga na madai ya kuhusika kwa upandishaji wa bei za mafuta.

Waziri wa kawi Charles keter amejitenga na madai ya kuhusika katika hatua ya kupandishwa kwa bei za mafuta. Keter ambaye amesusia kufika katika sen

Read More
September 20, 20210

Mwanahabari Mwanaisha Nchipepo Chidzuga kuwania kiti cha ubunge wa Matuga mwaka ujao…..

Familia ya aliyekuwa mwakilishi wa kwanza wa kike kaunti ya Kwale marehemu Zainab Chidzuga imemuidhinisha mwanahabari Mwanaisha Nchipepo Chidzuga kuwa

Read More
September 20, 20210

Maafisa watano wa polisi wanaokabiliwa na kesi ya mauaji wamekana mashtaka dhidi yao…

Maafisa watano wa polisi wanaokabiliwa na kesi ya mauaji eneo la Changamwe wamekana mashtaka dhidi yao. Washukiwa Khalif Abdulahi Sigat, James Muli

Read More

Posts navigation

Previous 1 2 3 … 9 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite