Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Maelfu ya vijana wajitokeza kwa zoezi la kusaka ajira ughaibuni May 20, 2025
  • Si Suala la Kisiasa! Kuzuiwa na Kufurushwa kwa Karua na Wenziwe ni Uamuzi Huru w... May 19, 2025
  • ‘Tanzania Sio Shamba la Bibi Kila Mtu Kuingia!’ Rais Samia Awakemea Wanaha... May 19, 2025
  • Headline;Kiongozi mkuu wa kanisa la kianglikana nchini  Jackson Ole Sapit aikoso... May 17, 2025
  • Wanaharakati Wapendekeza kubuniwa Mbinu Mbadala kukabili Mauaji ya Wanawake na D... May 17, 2025

Year: 2021

  • Home
  • 2021
  • Page 85
March 5, 20210

Viongozi wa ODM Kwale wapinga chama kipya cha PWANI…

Viongozi wa chama cha ODM katika eneo la Pwani wamepinga vikali mpango wa kubuniwa kwa chama kimoja cha eneo hilo. Mwakilishi wa kike wa kaunti ya

Read More
March 5, 20210

RUTO asema yeye ndiye anayefaa kuwa rais wa taifa hili…

Naibu rais William Ruto kwa mara nyingine tena amemtaka rais Uhuru Kenyatta kumpatia nafasi ya kuendeleza kazi waliyoianza pamoja katika uchaguzi mkuu

Read More
March 5, 20210

Rashid Echesa ni jambazi sugu anayesakwa na polisi…

Aliyekuwa waziri wa michezo na mwanasiasa Rashid Echesa ni jambazi sugu anayesakwa na maafisa wa polisi,haya ni kulingana na inspekta generali wa poli

Read More
March 5, 20210

Vituo vingi vya karantini vyafungwa kilifi……..

Huku visa vya maambukizi ya virusi vya Corona vikiendelea kuripotiwa kote nchini imebainika kuwa vituo vingi vya karantini kaunti ya Kilifi vimefungwa

Read More
March 5, 20210

Kanisa katoliki latangaza kuunga mkono chanjo ya COVID 19….

Kanisa Katoliki linasema kuwa linaunga mkono chanjo ya COVID-19 kwa Wakenya baada ya kuwasili kwa zaidi ya dozi milioni moja za chanjo ya AstraZeneca

Read More
March 5, 20210

Chanjo ya COVID 19 yaanza kutolewa….

Kaimu mkurugenzi wa afya dkt Patrick Amoth ndiye afisaa wa kwanza wa umma kudungwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inayojulikana kama Astra- Zeneca

Read More
March 4, 20210

Maafisa wa usalama eneo la taveta kaunti ya Taita taveta wamewakamata wanaharakati 11 wa kutetea haki za binadam waliotaka kuandamana kuhusu mzozo wa afya ambao umekumba kaunti hiyo.

Wakiongozwa na Francis Auma wa shirika la Muhuri, wanaharakati hao wamekamatwa walipokuwa katika harakati za kuanza mandamano hadi ofisi za gavana kul

Read More
March 4, 20210

Serikali inasema uhaba wa fedha ni tatizo kubwa linalosambaratisha zoezi la serikali la kulipaji fidia waathiriwa wa mizozo baina ya wanyamapori na binadamu.

Waziri msaidizi katika sekta ya utalii Joseph Boinnet amesema kuwa hali hiyo imechangiwa na viwango vikubwa vya madeni yanoyoikabili sekta hiyo. Ha

Read More
March 4, 20210

Maafisa wa usalama eneo la taveta kaunti ya Taita taveta wamewakamata wanaharakati 11 wa kutetea haki za binadam waliotaka kuandamana kuhusu mzozo wa afya ambao umekumba kaunti hiyo.

Wakiongozwa na Francis Auma wa shirika la Muhuri, wanaharakati hao wamekamatwa walipokuwa katika harakati za kuanza mandamano hadi ofisi za gavana kul

Read More
March 4, 20210

Serikali ya kaunti ya Tana River imepeleka wahuduma wa afya watano jijini Nairobi ili kupata mafunzo kuhusu chanjo ya covid-19.

Waziri wa afya kaunti hiyo Javan Bonaya amesema hatua hiyo ni njia moja ya serikali ya kaunti kujitayarisha kupokea chanjo hiyo iliyowasiliswa humu nc

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 84 85 86 … 92 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite