Kenya hii leo imerekodi visa vipya 2,008 vya maambukizi ya COVID-19 kutoka kwa sampuli 11,360 katika muda wa saa 24 zilizopita. Kufikia sasa Kenya
Read MoreRais Uhuru Kenyatta leo ameongoza maafisa wakuu wa serikali kupokea chanjo ya corona katika Ikulu ya Nairobi. Baada ya kutangaza masharti mapya ya
Read MoreRais Uhuru Kenyatta amepiga marufuku usafiri wa kuingia na kutoka katika kaunti za Nairobi, Kajiado, Machakos, Kiambu na Nakuru kuanzia leo saa sita u
Read MoreKampuni ya Astrazeneca sasa imepunguza viwango vya uwezekano wa chanjo yake kuzuia maambukizi ya virusi vya corona kwa asilimia 3. Ripoti ya hivi pun
Read MoreMaafisa wa usalama sawa na maafisa wa utawala wa mkoa kaunti ya Taita Taveta wameshauriwa kupata chanjo ya kujikinga kutokana na maambukizi ya Corona.
Read MoreUshirika wa waandishi wa habari Ukanda wa Pwani sasa wanawataka wanahabari Nchini kutembelea taasisi za afya kupimwa virusi vya Corona. Mshirikishi
Read MoreHospitali ya kibinafsi ya Jocham hapa mjini Mombasa imekuwa ya kwanza miongoni mwa hospitali za kibinafsi kuanza kutoa chanjo ya kuthibiti maambukizi
Read MoreJumla ya wakaazi elfu moja na mia nne kutoka eneo la changamwe wamenufaika na shilling million nane nukta nne kutoka kwa hazina ya maendeleo ya eneo b
Read MoreChama cha Madaktari nchini KMPDU sasa kinataka serikali kuweka mikakati mwafaka kukabili awamu ya tatu ya virusi vya corona. Katibu mkuu wa KMPDU-C
Read MoreGavana wa taita taveta Granton Samboja amepuuza ripoti zinazoenezwa mitandaoni kwamba yupo katika chumba cha wagonjwa mahututi na akitibiwa vrusi vya
Read More