Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Kina mama zaidi ya 100 wawezeshwa kiuchumi Kilifi. May 14, 2025
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025
  • Timu 32 Kutoka Kaunti Za Mombasa Na Kwale Kuwania Ubingwa Wa Makala Ya 6 Ya Rash... May 13, 2025

Category: News

  • Home
  • Lifestyle
  • News
  • Page 130
November 16, 20210

Ann Kananu Mwenda ameapishwa kuwa gavana wa tatu wa kaunti ya Nairobi.

Kananu ambaye amehudumu kama naibu gavana tangu mwezi disemba mwaka uliopita baada ya kung’atuliwa kwa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, n

Read More
November 16, 20210

Milipuko miwili yatokea katikati mwa jiji la Kampala nchini Uganda.

Katika taifa jirani la Uganda milipuko miwili imetokea nchini humo. Inaarifiwa kwamba mlipuko mmoja umetokea kwenye jumba la maduka karibu na kituo c

Read More
November 15, 20210

Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Kwale wametakiwa kutumia vipaji vyao kujiendeleza kimaisha…

Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Kwale wametakiwa kutumia vipaji vyao kujiendeleza kimaisha badala ya kujihusisha na utumizi wa dawa za kulevya. Mwen

Read More
November 15, 20210

Seif al- Islam al-Gaddafi atangaza rasmi azma ya kugombea urais wa Libya…

Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi De

Read More
November 15, 20210

Wito umetolewa kwa wakazi kaunti ya Kilifi kukoma kuwaruhusu wafugaji wa kuhamahama kulisha mifugo kwenye mashamba yao.

Akitoa wito huo mkurugenzi wa idara inayosimamia huduma za mifugo kaunti ya Kilifi Dkt Malenga Cornel, amesema wafugaji wengi wa kuhamahama wanatoka k

Read More
November 15, 20210

Shirika la msalaba mwekundu lalenga kuanzisha mpango wa kuwanunua na kuwachinja mifugo.

Shirika la msalaba mwekundu linalenga kuanzisha mpango wa kuwanunua na kuwachinja mifugo walioathirika na makali ya janga la ukame katika kaunti ya Kw

Read More
November 9, 20210

Wanasiasa kaunti ya Mombasa waonywa dhidi ya kuwatumia vibaya vijana.

Idara ya polisi kaunti ya mombasa imetoa onyo kwa viongozi wa kisiasa wanaowatumia vibaya vijana kuleta virugu miongoni mwa jamii wakati huu tunapokar

Read More
November 8, 20210

Bunge la kaunti ya Kilifi kujadili mswada wa uchimbaji mawe katika wadi ya Jaribuni…

Bunge la kaunti ya Kilifi, linalenga kujadili mswada wa kuifanyia marekebisho sheria ya uchimbaji mawe katika wadi ya Jaribuni eneo bunge la Ganze. K

Read More
November 8, 20210

HUENDA MPANGO WA MAGEUZI WA MAMLAKA YA KEMSA KUGONGA MWAMBA.

Mpango wa mageuzi katika usimamizi wa mamlaka ya usambazaji wa dawa na vifaa vya matibabu Nchini KEMSA huenda ukagonga mwamba baada ya daktari mmoja k

Read More
November 8, 20210

VYAMA VYA ODM NA JUBILEE KUWASAILISHA WAGOMBEAJI KAUNTI YA NAIROBI.

Vyama vya ODM na Jubilee vinatarajiwa kuamua jinsi ya kuwawasilisha wagombeaji katika Kaunti ya Nairobi na viti vyengine kote Nchini kufuatia ushiriki

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 129 130 131 … 153 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite