Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Headline;Kiongozi mkuu wa kanisa la kianglikana nchini  Jackson Ole Sapit aikoso... May 17, 2025
  • Wanaharakati Wapendekeza kubuniwa Mbinu Mbadala kukabili Mauaji ya Wanawake na D... May 17, 2025
  • Kilifi United yalambishwa mchanga nyumbani May 16, 2025
  • Kero la Uvamizi wa Ndovu Lavuruga Masomo eneo la Midoina-Bamba Kaunti ya Kilifi May 14, 2025
  • Kina mama zaidi ya 100 wawezeshwa kiuchumi Kilifi. May 14, 2025

Category: Lifestyle

  • Home
  • Lifestyle
  • Page 46
December 20, 20230

Uongozi wa Katoliki Kenya waainisha hatua ya Papa Francis kuhusu wapenzi wa Jinsia moja

Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki nchini KCCB limejitokeza kufafanua uamuzi wa kiongozi wa kanisa la katoliki humu nchini Papa Francis kuhusu mahusia

Read More
December 20, 20230

IG Koome aagiza Maafisa wa Polisi walio Likizoni kurejea kazini mara moja

Idara ya polisi haina nafasi kwa maafisa fisadi, ndiyo kauli yake Inspekta Jenerali wa polisi nchini Japhet Koome. Akihutubia wanahabari nje ya mak

Read More
December 19, 20230

Seneta Omtatah adai maisha yake yahatarini kufuatia kauli ya Rais kukabiliana na wanaopinga na sera zake

Seneta wa Busia Okiya Omtata amedai kuwa maisha yake yamo hatarini kutokana na kauli ya Rais William Ruto kusema atawakabili matapeli ambao wamekuwa w

Read More
December 19, 20230

Martin Dzombo Aidhinishwa Kuwa Nahodha wa meli ya KMA

Katibu mkuu katika wizara ya madini na uchumi sawamati Godfrey Kaituko alimuidhinisha rasmi Martin Munga Dzombo kuwa mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mas

Read More
December 17, 20230

Acheni Propaganda! Serikali ina pesa za kusimamia shughuli zake: asema Mwanaisha Chidzuga

Serikali inazo fedha za kutosha, haijafilisika na ina fedha za kuendesha shughuli zake kikamilifu. Ni kauli yake Naibu Msemaji wa Serikali Mwanaisha C

Read More
December 17, 20230

Bei ya Mafuta itazidi kushuka chini, asema Rais Ruto

Rais William Ruto amebaini kuwa sasa bei ya mafuta itaendelea kushuka polepole katika siku zijazo. Akizungumza huko kaunti Kisii katika Misa ya shukr

Read More
December 14, 20230

DCI yasitisha uchunguzi wa madai ya uchochezi dhidi ya viongozi 4 wa Lamu

Idara ya Upelelezi wa jinai, DCI Mombasa imesitisha uchunguzi kuhusu madai ya semi za uchochezi dhidi ya viongozi wanne wa Jamii ya Wabajuni kutoka ka

Read More
December 14, 20230

Rais Ruto aonya wachochezi; aapa kukabiliana na ukosefu wa usalama kaunti ya Lamu

Rais William Ruto ameahidi kuwa Serikali itajizatiti vilivyo kuhakikisha suala la ukosefu wa usalama katika kaunti ya Lamu linatatuliwa kikamilifu.Aki

Read More
December 14, 20230

Talaka zimezidi!! Kadhi Mkuu awataka wanawake kuwa na subra……….

Wanandoa katika Jamii ya waislamu nchini walitakiwa kukumbatia uvumilivu katika ndoa badala ya kukimbilia talaka za kila wakati. Kulingana na Kadhi mk

Read More
December 14, 20230

Serikali imehimizwa kukumbatia upanzi wa mmea wa rangi maarufu (Bixa) ili kukuza na kuwaendeleza wakulima wa mmea huo hapa nchini.

Kulingana na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kilimo na uzalishaji wa chakula (AFA) Cornelly Serem alisema kuna haja ya serikali kuacha kuagiza mmea wa rangi

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 45 46 47 … 158 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite