Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Kina mama zaidi ya 100 wawezeshwa kiuchumi Kilifi. May 14, 2025
  • ‘Niliapa Kulinda Haki na Demokrasia,’ Rais Ruto asema Wote Waliotekwa Nyara ‘Wam... May 13, 2025
  • Mkuu wa Idara ya Ujasusi Noordin Haji Asema Kenya haina Vifaa vya kutetea Mipaka... May 13, 2025
  • Kindiki awaambia Wapinzani wa Serikali Kujiandaa kwa ‘Mapambano Makali ya Kisias... May 13, 2025
  • Timu 32 Kutoka Kaunti Za Mombasa Na Kwale Kuwania Ubingwa Wa Makala Ya 6 Ya Rash... May 13, 2025

Images

  • Home
  • Image
  • Page 109
April 14, 20210

Vijana Lamu waanzisha bunge la vijana kuangazia changamoto zao…

Vijana wa Lamu wameanzisha bunge la vijana la kaunti ya Lamu linalolenga kuangazia changamoto zinazowakabili hasa suala la ukosefu wa ajira kwa vijana

Read More
April 14, 20210

Wizara ya afya Taita yatakiwa kuweka kituo cha afya katika maeneo ya uchimbaji madini….

Changamoto imetolewa kwa wizara ya afya kaunti ya Taita Taveta kuweka kituo maalum cha afya katika maeneo ambako shughuli za uchimbaji madini zinaende

Read More
April 14, 20210

Mwanahabari wa KBC Betty Barasa aliyeuawa kwa kuzikwa leo……

Mwanahabari wa shirika la KBC Betty Barasa aliyeuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake mtaani Ngong anazikwa leo katika boma lake eneo la Ololua, Ngon

Read More
April 14, 20210

Jaji Koome asema, kuwa mwanamke sio kizuizi cha kuwania wadhfa wa jaji mkuu…….

Shughuli ya kumuhoji jaji wa mahakama ya rufaa Martha Koome kwa wadhfa wa jaji mkuu inaendela kwa sasa ambapo amepata fursa ya kujieleza mbele ya jopo

Read More
April 14, 20210

Ukur Yattani akosa kufika mbele ya kamati za bunge…

Waziri wa fedha Ukur Yatani amedinda kufika mbele ya kamati ya bunge la kitaifa kuhusu fedha kuzungumzia suala la deni ambalo Kenya imechukua kutoka k

Read More
April 14, 20210

Serikali ya Kilifi kuimarisha soko kuu la Gongoni….

Serikali  ya kaunti ya Kilifi imeweka mikakati kabambe ya kuimarisha soko kuu la Gongoni ili kuwawezesha wafanyibiashara sokoni humu kuendeleza shughu

Read More
April 14, 20210

Mohammed Abdulqadir Haji aapishwa kuwa seneta wa Garissa…

Seneta mteule wa kaunti ya Garissa Mohammed Abdulqadir Haji ameapishwa rasmi kuwa seneta wa kaunti hiyo katika majengo ya bunge la seneti. Haji ali

Read More
April 14, 20210

Waislamu Mombasa wako mbioni kukamilisha matayarisho ya ramadhan…

Waumini wa dini ya kiislamu hapa mjini Mombasa leo wamejitokeza katika soko la Marikiti kwa shughuli za kununua bidhaa kwa maandalizi ya mwezi mtukufu

Read More
April 14, 20210

Proffesa Patricia Mbote ahojiwa kwa wadhfa wa jaji mkuu……

Mahoajiano ya kujaza wadhfa wa jaji mkuu yanaendelea kwa sasa ambapo leo anahojiwa proffesa Patricia Kameri Mbote, ambapo amesema iwapo ataidhinishwa

Read More
April 12, 20210

Mwili wa mwanamke uliokatwa katwa wapatikana huko KESE, Wundanyi…..

Wakaazi wa Kijiji cha Werugha Kese eneo bunge la Wundanyi Kaunti ya Taita Taveta,wameamkia kisa cha kushangaza ambapo mwili wa mwanamke umepatikana ka

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 108 109 110 … 120 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite