Wito unazidi kutolewa kwa vijana kutokubali kutumiwa vibaya na wanasiasa hasa wakti huu ambapo kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka ujao zinazidi kunoga.
Read MoreWazazi katika eneo bunge la Kaloleni wametakiwa kushirikiana na walimu ili kukabiliana na ongezeko la mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi . Kwen
Read MoreGavana wa mombasa ali hasaan joho amewahakikishia wakazi wa kaunti ya mombasa kuishi na amani bila kufurushwa kama maskuota akisema kuwa serikali yake
Read MoreIdara ya usalama mjini malindi imetakiwa kuchunguza kwa kina kisa ambapo mwanafunzi wa darasa la nne anadaiwa kuaga dunia kwa kujinyonga katika kijiji
Read MoreShughuli za masomo katika shule ya upili ya Mwamgunga eneo la Golini kaunti ya Kwale zimesititishwa baada ya wanafunzi kugoma. Wanafunzi hao wanaolal
Read MoreWakaazi wa Tiwi katika eneo bunge la Matuga kaunti ya Kwale wameandamana kulalamikia unyakuzi wa mashamba yao na mabwenyenye. Wakiongozwa na Hamisi
Read MoreNaibu Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani hii leo ametoa hundi za bursary zenye thamani ya shilingi milioni 1.2 chini ya mpango wa elimu ni sasa k
Read MoreMamia ya wanafunzi wamelivamia bunge nchini DRC wakitaka walimu wao waongezewe mishahara. Wanafunzi hao walikuwa wanapeperusha matawi na pamoja na
Read MoreMbunge wa mvita Abdulswamad Shariff Nassir ametoa wito kwa serikali ya kaunti ya Mombasa kupitia gavana Hassan Ali Joho kuondoa ushuru unaotozwa kwa b
Read MoreHatimaye Kiongozi wa Ford Kenya Moses Wetangula ameitisha mkutano wa Baraza la Kitaifa la Chama ili kujadili masuala mbali mbali yanayokikumba Chama h
Read More