Zaidi ya familia 50 zinazoishi Makina Kiwanjani eneo bunge la Voi Kaunti ya Taita Taveta zimegubikwa na hofu ya kufurushwa Katika makaazi yao kufuatia
Read MoreSerikali imehimizwa kuwapa uhamisho baadhi ya maafisa wa polisi katika kituo cha polisi Bamba katika eneo bunge la Ganze, kwa madai kwamba wanawahanga
Read MoreWito umetolewa kwa jamii Katika Kaunti ya Kwale kufahamu umuhimu wa kuwaelimisha watoto kuhusiana na haki zao za kimsingi na vile vile masuala dhulma
Read MorePolisi wamefanikiwa kutibua jaribio la shambulizi la kigaidi kutoka kundi la kigaidi la al-shabaab, kushambulia kambi ya polisi katika eneo la Khorof-
Read MoreShughuli ya kukusanya maoni kutoka kwa umma kuhusu mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka 2020 kupitia BBI inatarajiwa kuanza alhamisi hii hapa mjin
Read MoreMwanamme mmoja amepatikana ameuawa katika nyumba moja ambayo ilikuwa ikiendelea kujengwa katika mtaa wa Mrima Likoni hapa Mombasa. Mama wa mtaa eneo
Read MoreAliyekuwa Mbunge wa Garsen Ibrahim Sane anataka Viongozi wa kaunti na wale wa serikali kuu kuingilia kati na kusuhulisha migogoro iwapo itatokea eneo
Read MoreWawakilishi wadi kaunti ya Taita Taveta sasa wanataka majibu kuhusu shughli ya malipo kwa wafugaji sawa na wakulima ambao mifugo wao wameliwa na simba
Read MoreMashabiki wa mziki kanda ya pwani wamezidi kutoa maoni yao kuhusu kollabo mpya mjini ambayo nguli wa mziki hapa Pwani Yusuf Kombo a.k.a Susumila na Sh
Read MoreKikundi cha Sauti ya Wazee kaunti ya Kilifi kinaitaka serikali kuwa makini wakati chanjo ya ugonjwa wa Corona itakapofika nchini. Wakiongozwa na kati
Read More