Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Category: Lifestyle

  • Home
  • Lifestyle
  • Page 94
December 15, 20220

NEMA tawi la kaunti ya Kwale imesema inashirikiana kwa karibu na kamati za ulinzi ili kudhibiti mifuko ya plastiki kuingia nchini.

Mamlaka ya mazingira nchini NEMA tawi la kaunti ya Kwale imesema inashirikiana kwa karibu na kamati za ulinzi pamoja na vitengo vya usalama katika mae

Read More
December 15, 20220

Shirika la huduma la Kenya ferry services latakiwa kuainisha huduma zake katika kivuko cha Likoni ili kurahisisha usafiri kwa watalii.

Shirika la Kenya association of hotel keepers sasa wanalitaka shirika la huduma la Kenya ferry services kuainisha huduma zake katika kivuko cha Likoni

Read More
December 15, 20220

Wafanyibiashara wanaoendeleza shughuli zao nje ya hospitali ya rufaa ya Msambweni watakiwa kuondoa hofu ya kuvunjiwa vibanda vyao.

Mwakilishi wa wadi ya Ramisi kaunti ya Kwale Hanifah Mwajirani amewataka wafanyibiashara wanaoendeleza shughuli zao nje ya hospitali ya rufaa ya Msamb

Read More
December 15, 20220

Onyo kali latolewa kwa maafisa wa umma hususan wale wa idara ya afya wanaozembea kazini.

Onyo kali latolewa kwa maafisa wa umma hususan wale wa idara ya afya wanaozembea kazini mwao kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao. Haya

Read More
December 14, 20220

Bunge la kaunti ya Kwale limepitisha bajeti ya ziada ya shilingi milioni 25 zitakazotumika kuboresha huduma katika hospitali ya rufaa ya Msambweni.

Bunge la kaunti ya Kwale limepitisha bajeti ya ziada ya shilingi milioni 25 zitakazotumika kuboresha huduma katika hospitali ya rufaa ya Msambweni. M

Read More
December 14, 20220

Wazazi watakiwa kuwalinda watoto wao kutokana na utumizi wa dawa za kulevya wakati huu wa likizo ya Disemba.

Naibu kamishna wa eneo bunge la Msambweni kaunti ya Kwale Kipkech Lotiatia amewataka wazazi kaunti hiyo kuwalinda watoto wao kutokana na utumizi wa da

Read More
December 14, 20220

Sekta ya utalii inatarajiwa kuimarika kwa kiwango kikubwa msimu huu.

Sekta ya utalii katika eneo la Diani kaunti ya Kwale inatarajiwa kuimarika kwa kiwango kikubwa wakati huu wa msimu wa sherehe za krismasi na mwaka mpy

Read More
December 14, 20220

Vita dhidhi ya ugonjwa wa malaria Pwani Vyapigwa jeki baada ya mtego wa mbu kuzinduliwa.

Inbox Vita dhidhi ya ugojwa wa malaria ukanda wa  pwani na maeneo ya nyanza vimepigwa jeki baada ya kuzinduliwa kwa mtego wa mbu unaotumia k

Read More
December 13, 20220

Gavana wa kaunti ya Lamu issa Timamy amesema ako tayari kuwanunulia polisi mbwa wa kunusa ili waweze kukabiliana na suala sugu la mihadarati.

Gavana wa kaunti ya Lamu issa Timamy amesema ako tayari kuwanunulia polisi mbwa wa kunusa ili waweze kukabiliana na suala sugu la mihadarati. Timam

Read More
December 13, 20220

Huenda sekta ya utalii kaunti ya Kwale ikaimarika siku zijazo.

Huenda sekta ya utalii kaunti ya Kwale ikaimarika siku zijazo baada ya serikali kupitia shirika la kuhifadhi wanyamapori KWS kuahidi kuleta wanyama ka

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 93 94 95 … 158 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite