Gharama ya umeme humu Nchini inatarajiwa kushuka kwa asilimia 15 kuanzia Mwezi huu wa Disemba. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza hayo kwenya sherehe za
Read MoreRais Samia analiongoza taifa lake katika kuadhimisha miaka 60 ya uhuru. Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ndiye atayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hiyo
Read MoreMahakama ya malindi imemfunga jamaa mmoja miaka 30 gerezani baada ya kukubali kosa la ulanguzi watu bila kibali. Abubakar Amin Habib alikubali sh
Read MoreTume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC inasema kwamba haina uwezo wa kisheria kuwazuia wanasiasa wanaoendeleza kampeni za mapema zinazoendelea kushuh
Read MoreVIJANA WASHAURIWA NA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI KUSHIRIKIANA NA IDARA ZA USALAMA KUDUMISHA AMANI
Mashirika yasioyakiserikali ukanda wa pwani yameshauri kina mama pamoja vijana kushirikiana na maafisa wa polisi katika kuhakikisha uwepo wa usalama
Read MoreShule ya upili ya wasichana ya Mama Ngina imefungwa baada ya wanagunzi wa shule hiyo kujaribu kuiteketeza moto alfajiri ya kuamkia leo . Mkurugenzi w
Read MoreWatu watatu zaidi wameokolewa wakiwa hai kutoka mgodi ulio poromoka mapema mwezi huu ,eneo la Bondo kaunti ya Kisumu ambapo kufikia sasa watu 6 wameok
Read MoreMwanaume mMoja pamoja na wazazi wake wamefariki katika eneo la Katito nyakach kaunti ya Kisumu baada ya bomu la kujitoa mhanga kulipuka ghafla. Josep
Read MoreMamlaka ya maendeleo ukanda wa Pwani CDA imewataka wakaazi kutumia mvua inayoshuhudiwa na kupanda mimea ya chakula ili kuepuka janga la njaa katika si
Read MoreWalemavu katika kaunti ya Kwale wamelalamikia kutengwa na serikali ya kaunti ya Kwale katika maswala ya ajira kufuatia ukosefu wa uwakilishi katika se
Read More