Wahudumu wa BodaBoda zinazotumia umeme mjini Mombasa wameandamana nje ya kampuni ya Spiro eneo la Makupa wakilalamikia ongezeko la ada wanayotozwa na
Read MoreKaunti ya Kilifi imetajwa kuwa kielelezo bora katika juhudi zake za kuwahamasisha wakazi kudumisha usafi kwa kujenga vyoo ili kutunza mazingira na kuj
Read MoreVisa vya ajali za Barabarani vimeripotiwa kuongezeka nchini huku uendeshaji wa kasi ya juu na utumizi wa vileo kwa madereva vikitajwa kuwa sababu kuu
Read MoreWatu 3 wamethibitishwa kufariki huku takribani familia 3,800 kaunti ya Mombasa zikithirika kutokana na mvua kubwa iliyoshuhudiwa maeneo ya Pwani. Akiz
Read MoreFamilia moja katika kijiji cha Bangladesh eneobunge la Jomvu kaunti ya Mombasa inaomboleza kifo cha binti yao wa kidato cha 4 aliyefariki baada ya kup
Read MoreHatma ya Mazungumzo ya maridhiano i m Ati ati na kitendawili kinagubika hatma ya ripoti ya mazungumzo ya maridhiano baada ya Mrengo wa Azimio la Umoj
Read MoreMaelfu ya vyeti vya kuzaliwa vinasalia katika ofisi ya usaliji wa vyeti hivyo mjini Kilifi bila kuchukuliwa na wenyewe licha ya wakazi kutuma maombi y
Read MoreShirika la Kimataifa la Fedha, IMF limetoa fedha takriban shilingi bilioni 142.8. Shirika hilo limefikia makubaliano ya kuwezesha upatikanaji wa harak
Read MoreMaeneo ya Lumshi, Jipendeni, Amkeni miongoni mwa maeneo mengine yamesombwa na mafuriko katika Kaunti ya Lamu yaliosababishwa na mvua kubwa inayoshuhu
Read MoreSerikali ya kaunti ya Mombasa inalenga kushirikiana na halmashauri ya barabara nchini KeNHA ili kutatua tatizo sugu la mafuriko. Akizungumza na wanah
Read More