Zaidi ya familia 1,500 kutoka eneo bunge la Changamwe kaunti ya Mombasa zinatazamiwa kunufaika na bima ya kitaifa ya matibabu NHIF. Mpango huu ni moj
Read MoreWataalamu wa kilimo wameishauri serikali ya kaunti ya Kilifi kubuni mbinu mwafaka za kuhifadhi maji.
Wataalamu wa kilimo wameishauri serikali ya kaunti ya Kilifi kubuni mbinu mwafaka za kuhifadhi maji hususan wakati huu ambapo mvua zisizotabirika hun
Read MoreWatahiniwa 6 kaunti ya Kwale watalazimika kufanya mtihani wa KCSE gerezani baada ya kudaiwa kuhusika na uchomaji shule mwaka jana. Akizungumza na w
Read MoreMwanamume mwenye umri wa miaka 30 anazuiliwa katika kituo cha polisi kisiwani Amu kwa madai ya mauaji. Mshukiwa anadaiwa kumuua mwenzake wa umri 21 k
Read MoreHuku ulimwengu ukiadhimisha siku ya wanawake duniani mashirika ya kutetea haki za kibaadamu kaunti ya Kwale yanasema kuwa kukosekana kwa Sheria ya
Read MoreWahudumu wa bodaboda kaunti ya Mombasa wametishia kufanya maandamano kufuatia hatua ya rais Uhuru Kenyatta kutoa agizo la kuwataka kusajili upya pikip
Read MoreBaadhi ya wagonjwa hao wameeleza meza yetu ya habari kuwa hawakuwa na habari kuhusu mgomo huo huku wakisema mgomo huo umewaathiri pakubwa kwani wameko
Read MoreHii ni baada ya mwanamke mmkoja kujipata mikononi mwa wanabodaboda jijini Nairobi baada ya kudaiwa kusababisha ajali. Afisa wa masuala ya dharura kat
Read MoreWasichana wawili wajawazito kutoka Msambweni ni miongoni mwa watahiniwa zaidi ya elfu 23 katika kaunti ya Kwale wanaofanya mtihani wa kitaifa wa daras
Read MoreKongamano mbali mbali zinaendelea hapa Mombasa kusherehekea mafanikio na juhudi zilizopigwa na Mwanamke katika jamii. Viongozi wa maswala ya wanawake
Read More