Skip to navigation Skip to content

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
  • MOMBASA 94.2 FM | MALINDI 103.3 FM | GALOLE 105.7 FM | LAMU 106.7 FM | VOI 103.4 FM
Sauti ya Pwani

Sauti ya Pwani

Sauti ya Umma

  • Home
  • Habari
  • Siasa
  • Michezo
  • Afya
  • Burudani
  • Makala
  • Kimataifa
  • Blogs
  • Videos
Recent News
  • Robert Prevost Mzaliwa wa Marekani Achaguliwa Papa Mpya May 9, 2025
  • Kaunti ya Mombasa Yaanza Zoezi la Usajili wa Vitambulisho vya Kitaifa; Wakazi wa... May 7, 2025
  • Wanahabari Wausiwa Kukumbatia Teknolojia ya AI kwa Umakini Kuhakiki Kazi zao May 7, 2025
  • Matatizo ya afya ya akili ni tishio la usalama Kilifi May 6, 2025
  • Mfahamu Obelia Sea Fur, Nyota Kutoka Mitaa ya Kibera!! May 2, 2025

Images

  • Home
  • Image
  • Page 82
September 23, 20210

Serikali ya kaunti ya Kwale inatarajia kupokea chanjo ya tatu ya virusi vya corona ya aina ya Johnson & Johnson.

Gavana wa Kwale Salim Mvurya amesema kuwa chanjo hiyo inayotarajiwa hivi karibuni inalenga kuimarisha juhudi za serikali za kuwachanja wananchi. Mv

Read More
September 23, 20210

Seneta wa kaunti ya Baringo Gideon Moi leo anatarajiwa kukutana na viongozi na wajumbe wa chama cha KANU mjini Mombasa.

Kinara wa chama cha KANU ambaye pia ni seneta wa kaunti ya Baringo Gideon Moi leo anatarajiwa kukutana na viongozi na wajumbe wa chama hicho mjini Mom

Read More
September 21, 20210

Idadi ya vifo kutokana na ajali za barabarani yaongezeka…

Idadi ya vifo kutokana na ajali za barabarani mwaka huu imeongezeka ikilinganishwa na kipindi sawia na hiki mwaka jana. Kulingana na utafiti uliofa

Read More
September 21, 20210

Waziri wa kawi charles keter ajitenga na madai ya kuhusika kwa upandishaji wa bei za mafuta.

Waziri wa kawi Charles keter amejitenga na madai ya kuhusika katika hatua ya kupandishwa kwa bei za mafuta. Keter ambaye amesusia kufika katika sen

Read More
September 20, 20210

Mwanahabari Mwanaisha Nchipepo Chidzuga kuwania kiti cha ubunge wa Matuga mwaka ujao…..

Familia ya aliyekuwa mwakilishi wa kwanza wa kike kaunti ya Kwale marehemu Zainab Chidzuga imemuidhinisha mwanahabari Mwanaisha Nchipepo Chidzuga kuwa

Read More
September 20, 20210

Maafisa watano wa polisi wanaokabiliwa na kesi ya mauaji wamekana mashtaka dhidi yao…

Maafisa watano wa polisi wanaokabiliwa na kesi ya mauaji eneo la Changamwe wamekana mashtaka dhidi yao. Washukiwa Khalif Abdulahi Sigat, James Muli

Read More
September 20, 20210

Onyo kali imetolewa kwa wakazi wa Mitsemerini eneo bunge la Ganze……………..

Onyo kali imetolewa kwa wakazi wa Mitsemerini eneo bunge la Ganze kukoma kuchukua sheria mikononi kufuatia kuuawa kwa mzee wa takriban miaka 90 eneo h

Read More
September 20, 20210

Misokoto 149 ya bangi yanaswa katika kijiji cha Burani kaunti ya Kwale…

Maafisa wa polisi katika eneo bunge la Matuga kaunti ya Kwale wamenasa jumla ya Kamanda wa polisi kaunti hiyo Ambrose Steve Oloo amesema kuwa bangi

Read More
September 20, 20210

Ni afueni kwa familia ya Abdulhakim Saggar…

Hatimaye Abdulhakim Saggar ameachiliwa huru. Wakizungumza na wanahabari, baadhi ya viongozi kaunti ya Mombasa, Jamaa na marafiki wa Saggar, wamesem

Read More
September 20, 20210

Madkatari kaunti ya Mombasa kurudi kazini hapo kesho…………

Ni rasmi sasa kwamba madaktari katika kaunti ya Mombasa watarudini kazini hapo kesho Kulingana na katibu wa muungano wa madaktari KMPDU ukanda wa p

Read More

Posts navigation

Previous 1 … 81 82 83 … 120 Next
Contact Information

Vraj Dham Building,
Opp. DT Dobie, Sauti ya Kenya Rd
Ganjoni, Mombasa

T: +254(0) 782 942666

E: info@sautiyapwanifm.com
W: www.sautiyapwanifm.com

We are a coastal based commercial radio station in Mombasa and broadcast in both Swahili and English language. Our programs are educative, informative and entertaining. The target audience ranges from the young to the old due to well tailored and carefully selected programs that engage our listeners.
© 2021 | WordPress Theme : VMagazine Lite